Wema Sepetu anazidi kuweka kuni kwenye moto wa udaku kuwa amerudiana na Luis Munana. Hivi karibuni pamekuwa na #Stori tofauti kuhusu Wema kuachana na Idris na kurudiana na yule mshkaji wa Idris ‘Luis Munana’ aliyekuwa naye kwenye jumba la Big Brother Afrika.
Post ya Wema kuhusu Luis ilikuwa na maneno haya “Some stories are better left untold….???????????? This Pic Tho… – @luismunana ”
Naye Luis aliandika hivi “Moyo unataka kile unachohitaji, huwezi kuuzuia moyo @wemasepetu “
Hizi ni post mbili zilizowekwa na hawa watu wawili usiku wa June 24 2015.