SOMA MANENO ALIYOANDIKA DIAMOND KWA MSHINDI WA BET_AFRICA


Baada ya Mshindi wa tuzo ya BET,Best International Act: Africa kutangazwa kuwa ni Black Coffee, wasanii tofauti Afrika wamekuwa mstari wa mbele kumpa hongera msanii huyu akiwemo Diamond Platnumz ambaye pia yeye alikuwa akiwania tuzo hii.