Producer maarufu Marekani ambaye pia ni mwanamuziki wa Rnb na Hiphop anamshitaki Drake kwa kumdhulumu pesa ya malipo baada ya kazi.
Detail amemfikisha mahakamani Drake kwa madai hayo huku akifafanua kuwa walikubaliana kufanya kazi mnamo mwaka 2014 mwezi June ambapo Drake alimpigia simu Prodyuza huyo kwenda kwenye makazi yake huko Torronto na baada ya muda kupita Deatail alipokwenda kudai pesa zake Drake alimtumia walinzi wake kupiga na kupelekea kumvunja taya zake.
Kesi kubwa ni kwamba Detail anamshitaki Drake kwa kudhulumiwa pesa zake.