Star wa Fiesta Super Nyota 2012 kutoka Mwanza Young Killer leo katuletea hii video mpya ya ‘Kumekucha’ ambayo amemshirikisha Mr Blue, ukishaitazama usiache kuniandikia comment yako umeionaje na yeye atapita hapa kuona walichosema watu wake.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)