VIDEO: ‘Ibaki story’ ya Rich Mavoko ilivyotengenezwa South Africa

Tunayo single mpya sasa hivi kwenye Radio na TV inaitwa ‘ibaki story’ ya Rich Mavokoambaye juzi ametangazwa kusainiwa kwenye lebo ya Diamond Platnumz WCB, pamoja na kuyaona au kufikiwa na stori zote hizo inawezekana hukufikiwa na video inayoonyesha jinsi hiyo video ilivyotengenezwa South Africa.