NI NANI HUENJOY ZAIDI TENDO LA NDOA KATI YA MWANAUME/MWANAMKE?? JIBU LIKO HAPA


Kumekuwepo na malumbano ya hoja juu ya starehe ya tendo la ndoa kwa muda mrefu sana lakini bado jibu halijapatikana mpaka sasa!



Kuna watu wanadai kuwa wanawake ndio wanaopata raha zaidi kuliko nwanaume, wengine wanadai kuwa wanaume ndio wanaofaidika na starehe hii zaidi, hata hivyo, kundi la mwisho linadai kuwa wote hupata starehe kwa kiwango kinacho fanana. Tuone hoja zao:



Pia wanadai kuwa kutokana na starehe wanayoipata, wanawake wanakuwa ni rahisi sana kuendelea kuchapwa baada ya kuchapwa kwa mara ya kwanza kwa maana huwa hawako tayari kuiacha starehe hiyo kuwapita tena.



2.Wanaodai kuwa wanaume wanafaidi zaidi wanasema kuwa mwanaume anafaidi zaidi na ndiyo sababu anamaliza(Anamwaga) mapema zaidi kuliko mwanamke. Huwa haichukui dakika zaidi ya tano kabla haja mwaga bao la kwanza kutokana na msuguano na starehe anayoipata baada ya kuingiza uume wake ukeni.


Pia wanadai kuwa kitendo cha mwanaume kutokuweza kirahisi kuwa na mwanamke mmoja ama kuvumilia kwa muda mrefu bila tendo la ndoa, kinaonesha kuwa wanafaidi sana starehe ya kutiana na hivyo kuiacha kwa muda mrefu ama kuipata ya kutosha kutoka kwa mtu mmoja huwa ni vigumu.



Wanamalizia kwa kusema kuwa utafiti wa kisayansi pia unaonesha kuwa asilimia zaidi ya 70 ya wanawake haitoshelezwi kimapenzi huku asilimia hiyo hiyo ya wanaume ikiwa inatoshelezwa kimapenzi bila wasiwasi. kwa hiyo huwa wanaume ndio wanafaidi zaidi!



3.Wanaodai kuwa wote hupata raha inayolingana wanasema kuwa wanawake wanachukuliwa kuwa hawapati raha ya tendo kama mwanaume kwa makosa kwa sababu huwa  wana sehemu nyingi sana ndani ya miili yao ambazo hutumika kuwaridhisha na kuyafanya mapenzi yawe matamu sana kwao.




wanaongezea kuwa huwa wanaume wengi hawazichunguzi sehemu hizo na pia hawazishughulikii ipasavyo na ndiyo maana inaonekana ni wanawake asilimia kama 25 peke yake  wanayotoshelezwa kimapenzi.


USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI