Tid au kwa jina ambalo hupenda zaidi watu wamwite, Mnyama, amejichora tattoo zenye majina ya nyimbo za marehemu Albert Mangwair.
Baadhi ya nyimbo ambazo TID ameziandika ni pamoja na She Got A Gwan, Mikasi, Dakika Moja, CNN, Ghetto Langu, Fly Away na AKA Mimi.
Wawili hao walikuwa karibu kiasi cha kuanzisha kwa pamoja label ya Radar Entertainment.