Wiz Khalifa kazungumzia mahusiano yake na Amber Rose!



Wiz Khalifa amefanya mahojiano na kituo cha Hot 97 cha jijini New York akasema maneno yafuatayo....
, “We broke up. That’s just a little piece of it, but in the end it’s always going to be about the love.” 
Lakini pia aliongeza kuwa hana mpango mwingine wa kupata mtoto mwingine kwa sasa wala mipango ya kufunga ndoa.
Amber Rose na Wiz Khalifa wamefanikiwa kupata mtoto mmoja [Sebastian] lakini pia wameachana lakini wameonekana wakishirikiana mara nyingi tofauti na mastaa wengine wanapoachana.