‘Bado Niponipo’ ni moja ya nyimbo zake kubwa kuwahi kutokea pia katika bongofleva ambayo ilibebwa na swali kubwa la MwanaFA unaoa lini? sasa jibu lenyewe ndio limepatikana leo June 5 2016.
Picha kutoka @papichulo_chuly na @AyTanzania
ILIKUPITA HII YA MWANA FA AKIZUNGUMZIA MAISHA YAKE, JOKATE NA P FUNK