Ni Usiku wa June 2, 2016 ambapo msanii Shetta aliingia kwenye headlines baada ya kufanya sherehe ya kuwashukuru mashabiki kuupokea wimbo wake mpya uitwao Namjuapamoja na kutambulisha uongozi wake mpya.
Hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye tukio hilo