Akizungumza na EATV kuhusu tuhuma hizo Mbunge Anatropia amesema ''Nilikuwa natembea haraka kwenda kwenye kikao na kofia yake iliguswa na mkono kwa kusukumana na kuokotwa na ndiyo maana alivyotoka binafsi nilimsaidia kutafuta aliyeiokota''.
Aidha Mbunge huyo amesema kwamba bado wanazidi kuwasiliana ili kujua mtu aliyeiokota na baraghashia hiyo na kuondoka nayo.....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)