DUH ! IRENE UWOYA ASEMA "HUWEZI KUNIKUTA NA KUFULI NA SIPENDI KABISA VAZI HILI" CHECK HAPA



Mrembo na staa wa filamu nchini Irene Uwoya amesema kuwa hakuna vazi asilolipenda kulivaa kama chupi a.k.a kufuli. Irene amesema hayo alipokuwa akizungumza na magazine maarufu ya burudani ya VIBE.
Alipoulizwa na mwandishi wa jarida hilo kuwa ni nguo gani ni vigumu kuikuta kwenye kabati lake,  “Chupi – sipendi kabisa hilo vazi” Alisema Irene uwoya. Hatari sana hii.
-bongomovies
JIONEE MAPICHA KIBAO YA WASANII NA WAREMBO WA BONGO,