Rais Magufuli: Utawala Wangu Sitaki Kulimbikizia watu vyeo. Mbunge Hawezi Kuwa RC au DC


Rais wa Tanzania John Magufuli ametangaza kuwa katika utawala wake hatateua mbunge kuwa mkuu wa Mkoa au Wilaya. Amesema lengo ni kuboresha utendaji kazi na uwajibikaji, kwamba "Haiwezekani katika watanzania mil. 50 tukose watu hadi turundie watu vyeo.

Tunataka tuchape kazi kwa ufanisi na ufanisi hauwezi kuja kwa kumrundikia mtu vyeo".