Shilole: Nuh Mziwanda Amenifanya Niwe Msichana Mwema

Shilole amesema yeye ni ‘bad girl gone good’ thanks kwa mpenzi wake, Nuh Mziwanda.
Shilole anadai Nuh amembadilisha na kumfanya kuwa msichana mtulivu Muimbaji huyo amesema kabla ya kukutana na Nuh Mziwanda alikuwa ‘walu walu.’
Akiongea kwenye kipindi cha Mkasi, Shilole amesema Nuh amembadilisha kwa kiasi kikubwa na kwamba hajawahi kusaliti penzi lao. Shilole akiwa kwenye kipindi cha Mkasi “Kabla sijawa na Nuh ndio nilikuwa walu walu, yeye ndio amenibadilisha.
Baada ya kukutana naye tukazungumza na kupanga mambo mbalimbali kuhusu maisha yetu, sijawahi kumcheat Nuh.”
Bongo5