NIMEGONGWA NA BODA BODA NIKIMSHANGAA MDADA MWENYE WOWO KUBWA

Sasa nimekuwa kama mgonjwa ,nikiona mwanamke mwenye wowo kubwa akiri yangu inaruka kabisa. Leo katika pilika pilika za kutafuta maisha nikiwa kariakoo nimegongwa na boda boda nikiwa namshangaa mdada mwenye matako makubwa , bahati nzuri sikuumia sana, lakini sasa nawasi wasi kwamba inawezaikatokea nikagongwa nagari kabisa nakuumia sana au hata kufa kwa huu ugonjwa wangu wa kupenda kutamani wanawake wenye makalio makubwa . Sasa sijui nifanyaje, kuna rafiki yangu mmoja kanishauri nioe mwanamke mwenye makalio makubwa labda itakuwa nafuu kwangu. Majanga haya , yani leo baada ya kugongwa nilijiona jinga sana aisee...Naomba ushauri