HUYU HOUSEGIRL SIMTAKI, HAJUI KUPIKA WALA KUFAGIA, ATAKAYEMHITAJI ATOE COMMENT HAPA TUWASILIANE ILI NIMKABIDHI!

KATIKA MAHAUSGELO bom huyu wa kwanza hajui kupika wala kufua, sioni sababu hata moja ya kumlipa hii alfu hamsini kwa mwezi, anaemtaka anambie kwenye comment nimkabidhi maana nilimtoa kijijini kwao alipomaliza la saba nikajua atanisaidia kumbe hakuna kitu. Nirudishiwe nauli tu ya kumtoa kijijini. Asante kwa kunisikiliza

credit: UDAKU