Mbwa huyu alipewa kazi ya kumlinda mtoto, kilichofuatia ni story mtu wangu…(Video)

pppMara nyingi mbwa hutumika katika nyumba kama walinzi na kwa nchi za wenzatu wamekuwa zaidi ya walinzi kwani wamekuwa wakipewa nafasi kubwa na kuwa sehemu ya familia kama rafiki wa karibu sana.
Hapa nimekuwekea video ya mbwa huyu ambaye alikuwa akimlinda mtoto lakini akajikuta na yeye akizidiwa na usingizi na kuamua kulala juu ya mtoto huyo ili kuendelea kumlinda.
Cheki video yake nimekuwekea hapa.