Katika hizi picha 7 za vituko kutoka facebook, ipi imetisha?



HAO NYANI NI KAMA WANASEMA 
HALOOOOOOO!!
"Mtavunja Machungwa mwaka huu maana Nazi Zimepanda Bei"
1
Mtandao wa kijamii wa facebook, ni mtandao ambao unaweza kuupa nafasi ya dakika 10 na ukajionea vitu tofautitofauti zikiwemo habari, matukio mbalimbali na vituko au vichekesho pia.
Hizi ni sehemu ya picha ambazo nimekutananazo, ni zile picha ambazo mara nyingi huzitarajii.
1
Kwenye hii picha ya pili kuna mtu wangu kwenye instagram alicomment na kusema huyu jamaa lazima kapewa hili gari na Baba Mkwe.
3
3
4
4
5
5
6
6
7
7