VUNJA-MBAVU: Staili Tofauti za CCM za Kuomba Kura 2015

Mambo yakiwa magumu unahitajika kuwa mbunifu. Zifuatazo ni staili tofauti zinazotumika na wanaCCM kuomba kura tena kwa wananchi. Wanatia huruma sana. Staili hizi huwezi kuzikuta Ukawa. Cheka kidogo basi