MAVIDEO QUEEN HATARI SANA WA AFRIKA MASHARIKI

Cynthia Masasi (Tanzania)

Ni Video Vixen kutoka Mwanza Tanzania Ambaye anafanyia kazi zake Marekani.Ameshakua Featured Kwenye videos zaidi ya 30 nchini Marekani.Ameshafanya videos na wasanii kama T.I, Juvenile, Jazze Pha, Rick Ross na wengine kibao. Baadhi ni Ride Remix-Trey Songz Ft Rick Ross,Juelz Santana , Dont touch me – Busta Rymes na I know you see it ya Young Joc.


Vera Sidika (Kenya)
Nadhani kila mtu atakua ameiona video ya you guy waliofanya P-UNIT , video iliyokua na utata mkubwa hadi kusababisha kufungiwa huko nchini kenya na mmoja wa model katika video hiyo ni Vera sidika.