MAJI MAJI UKENI KAMA MTINDI YANANIKERA, JE NI UCHAFU? NAHISI KUMUACHA

Mpenzi wangu ana majimaji meupe kama mtindi ulioganda na unatoka kwa mabonge bonge wakati tukiwa tunafanya yetu, Nimejaribu sana kumwambia ajisafishe vizuri sana lakini hayaishi, sasa nashindwa kuelewa  je ni uchafu wa kawaida kwa mwanamke ? Au ni Ugonjwa ? Naomb