TAZAMA PICHA ZA YA LULU MICHAEL,NDANI YA SUN DRESS!!

Huyu ndo staa wa bongo movie wa Tanzania msanii lulu michael, yap kwa siku ya leo msanii huyo alikuwa na timu ya mastaa wenzake jijini Arusha, katika shindano la kusaka vipaji vya wasanii wachanga wa kuact filamu katika shindano la Tanzania Movie Talent, hot news is ilionekana washiriki wengi walishikwa na butwaa na kuanza kumshangaa staa huyo aliposhuka kwenye gari, so tukawa tunajiuliza is it the cloth aliyoivaa au wanamshangaa lulu kutokana na ustaa wake anyway but mwisho wa siku ndio hivyo lulu alipotezea na kuendelea na shughul zake.