Kutongoza Wanawake Walioolewa ni Rahisi Kuliko Wasioolewa.. 10:05:00 PM MAPENZI Hili sasa halina mjadala au ubishi kuwa kumtongoza mke wa mtu ni rahisi sana kama kusukuma tairi katika mteremko wa mlima kitonga. Lakini ni ngumu mno kutongoza hawa wasichana wetu wa kiswaz wana mlolongo mrefu na usumbufu.Kwanini hali hii?Karibuni Share this Share on FacebookTweet on TwitterPlus on Google+