BONGO CREW
MAPENZI
Mbunge wa Kawe, Halima Mdee Ataja Rapper wa Kibongo Anayemkubali zaidi Bongo
Mbunge wa Kawe, Halima Mdee Ataja Rapper wa Kibongo Anayemkubali zaidi Bongo
Mbunge wa Kawe, Halima Mdee amesema Rapper wa kibongo anayemkubali zaidi ni Roma Mkatoliki kwasababu anaimba hali halisi, anatumia sanaa kuburudisha na kuelimisha kwa wakati mmoja.Je, wewe ni rapper gani wa bongo unamkubali?