LULU MICHAEL Amchokoza Wema Sepetu, Ampiga Dongo la Wazi wazi Kuhusu Ubunge Viti Maalum, Soma Hapa Vijembe Alivyotoa kwa Wema

Kupitia Account yake ya Tweeter Mrembo na Mwigizaji wa Bongo Movies Lulu Michael Amerusha Kijembe kikali kwa Wanaowania Ubunge kupitia Viti Maalum, Kijembe hicho kimetafsiriwa na Wadau kuwa ni Special kwenda kwa Wema Sepetu ambae nae yumo katika wagombea kupitia Singida...
Soma Hapa alichoandika: