MAJANGA!


Aaaaghh sasa hata kama ni mitego hii sasa imekithiri,yaani mdada huyu anatabia ya kukaa kaa uchi sijui anategemea nini, ukimuuliza eti anasema ananyege hivyo anaanika uchi wake angalau kidogo upungwe upepo ili nyege zipungue. Sasa jamani kwa mwendo huu kila mwenye nyege akiwa anaanika uchi wake sijui itakuwaje,sipati picha kama madereva wa magari ya abiria hawatakuwa wanapindua magari kwa kushangaa ma uchi uchi kila sehemu?