EBOO!JAMAA AZAMA CHUMVINI AKIWA UKUMBINI NA WATU WANAMWANGALIA....



Ni kitu cha kushangaza sana huyu jamaa aliona kusubiri mpaka wakitok ukumbini sijui atachelewa nini. Alichokifanya kiliwashangaza wengi hadi bibi harusi mwenyewe kama unavyomuona pichani. Ni hatari sana hahaha....