JIONEE HAYA MAPICHA YA RAHA ZA USIKU HAPA!!

Miongoni mwa wadada wengi siku hizi wanapokuwa katika kumbi za starehe ufanya mambo ya ajabu kupita maelezo, aidha kwa kuvaa nguo ambazo zinaonesha maungo yao au ata kujifunua makusudi na wakati mwingine ata kukaa vibaya mbele za macho ya watu.  
Mi naamini kila jambo lina makusudio yake uenda makusudio yao ni kupata wanaume kiuraisi nikiwa na maana kuwa wanajiuza kwa sababu kama mtu unajiheshimu uwezi kuonesha
Jamani si kila mlango uliofungwa sharti ubishe hodi uenda kukawa hakuna mtu ndani, yani namaanisha wadada wanaovaa nguo ambazo zinawaonesha sehemu zao za siri inawezekana hawana wapenzi na kama wanao wapenzi basi ni mapunguani kama wao. Sina mengi ya kuzungumzia machafuko ya macho ila unaweza kupata maana nyingi kwa kuangalia picha hapa chini....