Aunty Ezekiel Amejifungua?!!
Muigizaji Aunty Ezekiel kwenye ukurasa wake wa Istagram jana usiku aliweka video ikimuonesha akiwa Hospitali na akiwa amembeba mtoto mkononi ilivuma na katika picha zake zote hiyo ndo ilipata comments nyingi zaidi watanzania wakimpongeza kwa kujifungua, Mose Iyobo ambaye mara nyingi ametajwa kuwa ndiye baba wa mtoto huyo, amesema Aunty yuko location wanashoot movie mpya aliyocheza na msanii Dude.
Ni movie kweli au kajifungua?